• Mpango Mkakati wa Mahakama

  Mpango Mkakati wa Mahakama

  Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Mheshimiwa Frednand Wambali (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mahakimu Wafawidhi wa Mahakama za Mikoa na Wilaya nchini baada ya kufungua Mkutano kuhusu Mpango Mkakati leo katika ukumbi wa Hazina mjini Dodoma

 • Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli

  Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Bw. Hussein Kattanga. Kutoka kulia ni Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande Othman, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi, Mhandisi John William Kijazi.

 • Mhe. Shaban Lila akisaini hati

  Mhe. Shaban Lila akisaini hati

  Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania  Mhe. Shaban Lila akisaini hati ya kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa hafla ya uapisho ya Jaji Kiongozi na Jaji wa Mahakama ya rufani leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 • Mhe. Ferdinand Wambali

  Mhe. Ferdinand Wambali

  Jaji Kiongozi Mhe. Ferdinand Wambali akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa hafla ya uapisho ya Jaji Kiongozi na Jaji wa Mahakama ya rufani leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 
 

Judges’ and Magistrates’ Association Tanzania

The Judges’ and Magistrates’ Association Tanzania (JMAT), The Association has since organized various activities around institutional development, and conferences to judicial issues of regional concern. It was granted observer status with the East African Community (EAC), which has promised support for the JMAT.

JMAT News / Events

 • Watumishi wa Mahakama watakiwa kufuata Maadili

  Watumishi wa Mahakama watakiwa kufuata Maadili

  Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Mheshimiwa Ferdinand Wambali amewataka watumishi wa Mahakama nchini kufanya kazi kwa kufuata maadili na misingi […]

   
 • Kamati Tendaji

  Kamati Tendaji

  Wajumbe wa Kamati Tendaji TAIGA waliohudhuria kikao mwezi March 2016 ukumbi wa Mahakama ya Rufani

   
 

News From Courts

 

Articles

 • To keep you Inspired

  To keep you Inspired

  This section of the newsletter is aimed at getting us up from the daily grind of our work. Consider it […]

   
 • Managing

  Managing

  This is an excerpt from a book titled “ 20 Steps to Better Management” by John McBride and Nick Clark. […]

   
 

Reports

 • Electroral Process

  Electroral Process

  As aforesaid, he Electoral System which is in use in Tanzania is the First – Past – the – Post. […]

   
 • The Electoral Processes

  The Electoral Processes

  By Hon. Mr. Justice Robert V. Makaramba. Elections not only do allow for political competition, participation and legitimacy, but also […]

   
 
 

Featured Photos